Sehemu zamani tuliijua kama Tanzanite. bado kuna baadhi ya wanyama pori wamehifadhiwa.
Mbuni huyu alipita mbele yetu kwa mikogo na madaha kama vile yupo kwenye mashindano ya ulimbwende. Kulikuwa na kundi la wageni wengine walikaa pembeni ya Kikosi cha Tembea walijikuta wakimpigia makofi na kumshangilia mbuni huyu kwa mikogo yake.
No comments:
Post a Comment