
safari kuelekea Uhuru point imeanza. Porter niliyemshuhudia akianza safari kuelekea Uhuru peak kupitia geti la Umbwe.

Nilipomuomba kung'amua taswira yake akaanza kutoa manjonjo

Chalii huyu alikuwa na manjonjo kweli kweli...

Mmoja wa ma-porter wa mizigo akianza safari baada ya kukamilisha taratibu za kujisajili. Wageni wao walikuwa wameshatangulia

Wakiliacha geti la Umbwe nyuma na kukamata njia kuelekea mlimani
Tafsiri nzuri ya porter kwa kiswahili ni "Wapagazi" hiii ni kwa mujibu wa chama kinacho tetea maslahi ya wapanda mlima kilimanjaro.
ReplyDelete