Maasai Giraffe ni aina ya twiga ambao wanapatikana kwa wingi katika mbuga na hifadhi mbalimbali za hapa nchini. Ukiachia aina hii ya twiga, zipo aina nyingine kadhaa za twiga ambazo zinapatikana ktk bara la Africa. Maasai giraffe wanatambuliaka kirahisi kwa mfumo wao wa 'viraka/mabaka' ktk ngozi zao.
Aina nyingine za twiga wanaopatikana kwa wingi ktk nchi za Afrika mashariki ni Rothschild giraffe pamoja na Reticulated giraffe [Picha - TTB]
Sasa kama siyo TEKNOHAMA na Blogu na kuwepo KK akaanzisha TembeaTz, mi ningejua lini sasa kuwa wapo aina tafauti ya Twiga?
ReplyDeleteAsante sana kwa blogu elimishi. Najazia nilivyokosa shule, ambavyo huenda kuvisoma muda usingetosha, ndiyo maana watu wanafanya 'speshalaizesheni'. Shukran!
Asante kwa kutujulisha aina za Twiga. Nitawafundisha wanangu ili na wao wasiwe kama mimi!
ReplyDeleteAsante sana