Hii nayo ni moja ya mapito ndani ya Ngorongoro crater. Licha ya kwamba toka juu ngorongoro crater inachukua mfano wa bakuli na kuoneka dogo lakini ukiwa ndani ya Ngorongoro crater ni rahisi sana kupotea kama hujui njia au huelewi wapi pa kwenda. Changamoto ya kwanza huja kutokana na ukweli wa kwamba unapoingilia sipo unapotokea. Njia hizi zipo sehemu mbili tofauti na usipoelewa unaweza tumia muda mwingi kutafuta pa kutokea badala ya kutafuta na kuangalia wanyama na mandhari ya crater. Kuwa na guide au dereva mwenye uelewa wa mapito ya crater ni jambo la msingi na manufaa sana kwa safari yako. Off road driving hairuhusiwi ukiwa ndani ya Ngorongoro crater.Saturday, May 15, 2010
Njia za Ngorongoro Crater
Hii nayo ni moja ya mapito ndani ya Ngorongoro crater. Licha ya kwamba toka juu ngorongoro crater inachukua mfano wa bakuli na kuoneka dogo lakini ukiwa ndani ya Ngorongoro crater ni rahisi sana kupotea kama hujui njia au huelewi wapi pa kwenda. Changamoto ya kwanza huja kutokana na ukweli wa kwamba unapoingilia sipo unapotokea. Njia hizi zipo sehemu mbili tofauti na usipoelewa unaweza tumia muda mwingi kutafuta pa kutokea badala ya kutafuta na kuangalia wanyama na mandhari ya crater. Kuwa na guide au dereva mwenye uelewa wa mapito ya crater ni jambo la msingi na manufaa sana kwa safari yako. Off road driving hairuhusiwi ukiwa ndani ya Ngorongoro crater.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
DESCEND..KUSHUKA, KWENDA CHINI , KUTEREMKA.
ReplyDeleteASCEND... KWENDA JUU, KUPANDA, KUPAA.
LAZIMA TUJIFUNZE KIINGEREZA ILI TUWEZE KUWA NA MAWASILIANO SAHIHI.
DESCENT NA ASCENT NI MANENO SAHIHI YA KIINGEREZA LAKINI HAPA SI MAHALI PAKE.