Tuesday, May 4, 2010

Msitu wa Mombo

ukiwa unaelekea Same(Moshi) kwa gari, baada tu ya kumaliza 'mji' wa mombo utakutana na ka-msitu asilia ambacho kama unajali mambo haya lazima macho yako yataunasa. Sijawahi kupata taarifa zaidi za huu 'msitu' lakini huwa anashika attention ya akili yangu nipitapo hapa mahali mara kwa mara.




picha zote ni toka ktk maktaba ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment