Ushauri wa bure kama unataka ku-enjoy camoing ni vyema utafute mtaalam (au kampuni) inayojishughulisha na camping na uichie iandae safari - hasa hasa mkiwa kundi kubwa la wadau. Mdau JSK toka Moshi aliweka kambi siku si nyingi ktk eneo hili na turushia taswira hii mwanana.
Monday, May 3, 2010
Campsite namba 1, Arusha National Park
Ushauri wa bure kama unataka ku-enjoy camoing ni vyema utafute mtaalam (au kampuni) inayojishughulisha na camping na uichie iandae safari - hasa hasa mkiwa kundi kubwa la wadau. Mdau JSK toka Moshi aliweka kambi siku si nyingi ktk eneo hili na turushia taswira hii mwanana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Angalau leo nimepata mwanga wa campsite inakuwa na mazingira ya namna gani. Ipo siku nitafanya camping porini.
ReplyDelete