Friday, April 2, 2010

Mji kasoro bahari...

Timu ya TembeaTz leo ilipata wasaha wa kuingia ndani ya Mji kasoro bahari ikiwa njiani kuelekea mitaa ya kati. picha hizi ni taa za juu (highlights) ya kile ambacho team iliweza kung'amua ktk ziara hii fupi. Picha juu ni stendi ya mabasi ya Msamvu.

Mitaa ya kati ukiwa unaelekea site senta ya Moro mjini.

Keep-left karibu na Hospitali ya mkoa wa Morogoro.

Boma Road

Mitaa ya Boma Road.

Njia ya Kuelekea SUA

Jengo la Utawala la SUA.

No comments:

Post a Comment