
hizi nguzo zilitoka bara ulaya na kuletwa na wakoloni wakati wa ujenzi. Zilipofika, hazikuja maelezo kamili ya namna gani nguzo hizi ziwekwe ktk kanisa hilo. Ili kuokoa muda, mafundi waliamua kuzisimika nguzo hizo ili kazi isonge. Ndipo baadae walipokuja waliokuwa wanajua zinatakiwa zikae vipi, wakagundua kuwa zimewekwa up side down. Ilikuwa ni too late kwani ujenzi ulikuwa umefika mbali na kuvunja mjengo ili kuziweka sawa haikuwezekana. Zikaachwa zibaki hivyo hivyo uzionavyo ktk picha. kwa jumla zipo nguzo 12; uzionazo ni 6 tu za upande mmoja wa kanisa/makumbusho.
No comments:
Post a Comment