Wednesday, September 2, 2009

Mto unavuka Barabara

Hii hali nilikutana nayo ktk milima ya Upareni huko Same.
Maji ya mto yanapita juu ya barabara kama reli


Ukifika sehemu hiyo huna ujanja; sharti ukunje suruali yako, uvuke mto na kuendelea na safari yako.

Mandhari nyingine zilikuwa maridhawa

No comments:

Post a Comment