tag:blogger.com,1999:blog-1546309853288380578.post857831555672126958..comments2023-10-02T12:05:46.326+03:00Comments on T-E-M-B-E-A Tanzania: Uwanja mdogo wa ndege wa Mtemere - Selous GRKKhttp://www.blogger.com/profile/04043462447205950421noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-1546309853288380578.post-81960143563831180002012-02-28T12:34:04.166+03:002012-02-28T12:34:04.166+03:00hi! wakuu? vp mbona kimya longtime? au ni kuzidiwa...hi! wakuu? vp mbona kimya longtime? au ni kuzidiwa na majukumu?<br /><br />kwanza niwapongeze sana kwa blog hii kwa kweli mm binafsi hua natembea tanzania kupitia hapa kwenye blog hii najifunza mengi nisiyoyajua, kupotea kwenu kwa muda kumeninyong'onyeza sana make kila nikipita hapa kijiweni nakuta patupu duu!!!!<br /><br />any way najua maisha yetu ya sasa ni mchakamchaka kama ule wa (mbweha wa selous)hahahaaa!!! kukosa muda wa kupost new topic sitawalaumu sana nawaelewa. tupo pamoja sana..... big up!!! na poleni kwa majukumuAnonymousnoreply@blogger.com