tag:blogger.com,1999:blog-1546309853288380578.post280393765396513703..comments2023-10-02T12:05:46.326+03:00Comments on T-E-M-B-E-A Tanzania: kwa mbali.. kwa chati..KKhttp://www.blogger.com/profile/04043462447205950421noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1546309853288380578.post-79407506081704327132011-02-21T13:00:29.005+03:002011-02-21T13:00:29.005+03:00Kwako Mdau wa UK,
Tunashukuru kwa maoni yako na tu...Kwako Mdau wa UK,
Tunashukuru kwa maoni yako na tutayafanyia kazi kwa mitundiko ya mbele na kuyaweka ktk mipango ya maboresho ya blog yetu.
Tuliamua kuanza na yale majina ambayo hayapo documented popote; Sharubu=Simba, Mrefu=Twiga, Wa Juu=Chui, Wa Chini=Duma, Bwana Afya=Fisi, Masikio=Tembo, Kamba=Nyoka n.k.

Ahsante,
KK - Tembeatz.blogspot.comKKhttps://www.blogger.com/profile/04043462447205950421noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546309853288380578.post-89290768543352775412011-02-21T03:22:26.037+03:002011-02-21T03:22:26.037+03:00Mwana big up sana kwa uwajibikaji mzuri. Nimekuwa ...Mwana big up sana kwa uwajibikaji mzuri. Nimekuwa addictive na blog yenu. Tupe majina ya kisayansi ya wanyama,miti,ndege,maua na majani pls. Mdau Uk.Anonymousnoreply@blogger.com